(4) RANGI YA NGOZI YAKO

 (4) RANGI YAKO YA NGOZI.

Kwenye swala la la ngozi ndipo wengi wanapopategemea.

Hii ni kwa sababu kila mtu ana ngozi yake yenye upekee.

Lakini kwa ufupi na uwazi wa hali ya juu ni kwamba

 wanawake weupe 

wanaweza kuvaa rangi yoyote ya mtandio

bila tatizo lolote.



Wanawake wenye rangi ya chocolate / maji ya kunde 

(brown skin girls). nao wana uwezo wa kuvaa rangi tofauti kadri

wawezavyo lakini chini ya sharti moja.

Ambalo ni kuhakisha rangi ya mtandio inakubaliana na

nguo nyengine ulizo vaa.


Wanawake wenye rangi nyeusi nao pia

wanaweza kuvaa rangi tofauti tofauti lakini kuna baadhi ya 

rangi ambazo hazishauriwi kwenu. 

Mfano; Mtandio wenye kijani mkolezo sio chaguo zuri kwa wanawake weusi.


Kwa wadada wenye albinisim, (ALBINO) nanyi pia

 mnaruhusa ya kuvaa rangi yoyote kama ilivyo kwa wale weupe. Lakini

ushauri ni kupunguza matumizi ya mitandio yenye rangi nyekundu 

kwa sababu rangi nyekundu inapunguza utamu kwenye ngozi hii

CHAGUA MTANDIO KULINGANA NA NGOZI YAKO.

RANGI NYEUPE INKUBALIANA  NA KILA NGOZI

Bofya maneno haya ya kijani kufungua JAMBO LA TANO

JAMBO LA (5); SIZE YA MWILI WAKO





Popular Posts