(2) RANGI YA KITAMBAA CHA MTANDIO.
(2) RANGI YA KITAMBAA.
Rangi ya kitambaa cha mtandio.
Hii inasidia wengi wetu kwa sababu miili yetu mara nyingi huwa na
mafuta na kusababisha jasho. Ambalo linasababisha
kuchafuka kwa mtandio wako kirahisi.
Ambapo utalazimika kuufua mara kwa mara, kitu ambacho sio kizuri kimavazi.
Chagua rangi kutokana na mwenendo wa maisha yako (lifestyle).
Mfano rangi kama maroon ni kipenzi cha wengi bila kasoro
Rangi ya maroon inadumu na inapendeza Bofya haya maneno ya kijani kufungua JAMBO LA (3) JAMBO LA (3); MATERIAL YA KITAMBAA |