(5) SIZE YA MWILI WAKO
(5) SIZE YA MWILI WAKO
Size ya mtu kiujumla ni unene wa mtu.
Wadada wanene (miili mikubwa)
wadada wanene wanwaweza kuvaa mtandio wowote
lakini ushauri ni kutumia mtandio wa mpira
Dada yoyote mnene hii ndio chaguo lake |
Wadada wa wastani
Wadada wa wastani ni kipenzi cha wengi hivyo basi
wana uwezo wa kuvaa mtandio wowote ule.
Wadada wenye wembamba ( mwili mdogo)
Kwa wanwake wembamba pamoja na kuwa na machaguo
mengi lakini chaguo bora ni lile la mtandio wa shifon
Kama mwili wako ni mdogo tumia shifon |
Bofya maneno haya ya kijani kufungua JAMBO LA SITA