PRIYANKA CHOPRA THE REAL BOSS LADY


 


Gazeti la forbes linamtambua muigizaji 

mpenda mitindo Priyanka Chopra kuwa 

mmoja wa  wanawake 100 wenye nguvu 

na ushawishi duniani.




Ushawishi na nguvu ni vitu vilivyokuja baada ya 

nidhamu na adabu ya muda  mrefu. 

Wengi hamjui  lakini kipindi Priyanka akiwa na

 miaka 13 akiwa nchini marekani kwa sababu ya

 masomo, alifanyiwa ubaguzi na wamarekani weusi.

 Sababu zinazo mtofautisha Chopra na wengine ni 

kama zifuatazo.

  •  Mapenzi ya fashion na stara.

Jaribu kupitia instagram ya priyanka utamkuta 

kwenye post zake nyingi amevaa magauni ya bei 

 kali ukifuatilia kwa undani utamkuta akiwa na 

hijab/mitandio iliyoundwa na wabunifu wa sanaa

ya mitindo.Pia ni balozi wa jumba la fashion la BULGARI. 

Chopra ni mstaarabu kwa sababu ni mtu wa 

kuzingatia stara my love.

  •  Kujijali

Umeshawahi kuona watu wanaojipenda, 

lakini vyotoe ulivoviona ni cha mtoto ukilinganisha 

na jinsi Chopra anavyojipenda na kujali afya 

yake na ya wanaomzunguka. Kipindi cha 

ujauzito wake hakubeba mimba. Alichukuliwa 

mwanamke mwenigine akapandikiziwa mimba 

changa ya Priyanka kisha baada ya kujifungua, 

Chopra na mumewe Nick Jonas wakaenda 

kuchukua mtoto. Hii ilimruhusu kuendelea 

na kazi pamoja na kuendelea kumiliki mwili wa ujana.

  •  Viwango na nidhamu kazini.

Priyanka anaamini ya kwamba anastahili 

kutawala dunia katika tasnia yake, kwahiyo 

anahakikisha kazi zake zote zinaviwango vya

 hali ya juu kuliko hata kazi za wapizani 

wake ambao wengi ni wanaume.

  •  Utu

Asilimia 10% y mapato yake yote 

yanaenda kwenye misaada hususani 

kwa watu wa INDIA.


********* _MWISHO_ **********

Popular Posts