Hii  ndo familia pekee duniani ambayo baba na mama wote ni mastaa wa mziki wa Taarab. Malkia Leyla Rashid ni mke mpenzi wa Mfalme wa taarab Mzee Yusuph.

Mfalme na malkia wake wapo kwenye penzi moja matata sana. Lakini kwa leo nimeamua tumuongelee malkia Leyla pekee.

 

Eeh bhna cha kwanza Binti Rashid alizaliwa mwaka 1971 mwezi wa 6, Tarehe 6, ambaye kwa sasa ana miaka 52. Kama alivyokuwa hayati Magufuli, Leyla sio mtu wa kubabaishwa ovyo. Usanii wa malkia haukuishia kwenye taarab tu, bali kwenye sanaa ya mitindo pia (FASHION DESIGNER)

 

JINSI YA KUWA MGUMU KAMA BINT RASHID.

 

1 Cha kwanza kabisa, vaa pendeza

2 Usikubali kuzinguliwa

3 Unapotakiwa kuongea hakikisha unaongea kwa kujiamini

4 Mwanamke tafuta hela

5 Hakikisha unafanya jambo kwa viwango, la sivyo litakuwa jambo la utopolo.


***mwisho***

Popular Posts