KOPA MAMAE ZUCHU
Siamini alikuwa mdada wa kwenda shule, kidumu na fagio la chelewa mkononi. AKALALA. Akaamka, akiwa malkia wa mipasho.
Baada ya Khadija Kopa
kuvunja ukimya kwa wamama
juu ya swala la muonekano.
Hatimae tumepata kujua kwamba
mtandio huu ndio suluhisho
lako la mwisho la stara.
MTANDIO WA KHANGA
[BEI-15000]
- Umetokea India mtandio huu wa khanga.
- Na ni spesho kwa malkia kama wewe.
- Bei yake ni ndogo kwa mwanamke mwenye moyo mkubwa.
MTANDIO WA KHANGA
[BEI-15000]
- Utakupa muonekano mzuri na kukufanya uonekane mstaarabu.
- Hauleti joto wala kutunza jasho sababu ya muundo wa nyuzi zake.
- Maua yake yanavutia kwa sababu yamepambwa kwa stones ndogo za kung’aa.
- Unafunika mgongo na kifua, ukipenda unaweza kuushusha chini ili ufunike makalio.
- Mtandio huu utakupendezesha na kufanya wanaokuzunguka wavutiwe kwako, huku wakikuuliza
(huu unyama umenunua wapi?..)
Kama mtandio huu usipo kupendeza, tutakurudishia pesa yako taslim na nyongeza juu.
Umebakisha hatua moja ili kuwa
malkia, nayo ni kuongeana na
mhudumu wetu WhatsApp.
Bofya hapa kupata maelekezo yote kupitia WhatsApp
Pata offer ya pini za mitandio za sumaku bure, ukinunua mtandio huu.
-TAZAMA RANGI ZA MTANDIO HUU HAPA-
HASTA LA VISTA BABY.
MITINDO "TUNAKUPENDA" CLASSIC
Penzi letu kwako ni la dhati
*******mwisho*******