MAMBO SITA (6) YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA MTANDIO MAHALA POPOTE.

Wauza mitandio hawawezi kukuambia, 

"Jambo la nne litakupasua kichwa". 

Makala ifuatayo inaletwa kwako baada ya uchunguzi wa kina kwa lengo la kumsaidia kila mwanamke huko nje.


MAMBO 6 (SITA)

1) Uzito na ukubwa wa kitambaa

2) Rangi ya kitambaa

3) Material ya kitambaa

4) Rangi ya ngozi yako

5) Size ya mwili wako

6) Rangi ya nguo zako


    (1) UZITO NA UKUBWA WA KITAMBAA.

Kitambaa cha mtandio.

Kwa ufupi, wanawake wengi wanapendelea mitandio mikubwa yenye uwezo wa kufunika kifua kukaribiana na mabega.

Wengine wanapenda mitandio ambayo inafunika mpaka mgongo.

Ukubwa huu utakusaidia kuwa huru

uzito wa kitambaa cha mtandio ni kulingana na mapenzi ya mtu mwenyewe 

kwa sababu kama vile joto weninge hupendelea kitambaa chepesi,

lakini wengine hupendelea kitambaa kizito kwa sababu ya kufunika maumbile.

Hivyo basi hakikisha kitambaa cha mtandio wako ni kikubwa kitakusaidia upendeze.

Kitambaa kizito na kikubwa

Bofya maneno haya ya kijani kufungua JAMBO LA (2)

JAMBO LA (2); RANGI YA KITAMBAA


  

Popular Posts