Kwa wanawake wa Dar es salaam na mikoani wenye umri wa miaka (20-50)
....
Tambua jinsi ya kutumia mavazi ili kupendeza pamoja na kujipatia heshima kama vile wafanyavyo wasanii kwa bei karibia na bure.
g
Tazama baadhi ya wanawake maarufu wanavyopendezesha kichwa kwanza
Tatizo kubwa linalo husiana na mitandio ni kwamba
*mitandio mingi haifuniki kifua..
*mitandio yenye rangi zaidi ya moja si mizuri sana..
Tafiti za kimitindo zinaonyesha kwamba mitandio ya mpira ndio inayovaliwa na idadi kubwa ya wanawake, inasemekana zaidi ya wanawake 57,000 wanatumia mitandio ya aina hii
Katika idadi hiyo, wanawake wengi wanaotuimia mitandio ya mpira ni waislamu na wakristo wachache wenye umri wa miaka kuanzia (20-50).
Faida za mitandio hii ni-
Mitandio ya mpira ni mikubwa yenye nakshi na ya kuvutika.
*ni vazi la hesima na lenye kupendezesha.
*inazuia matatizo ya nywele kama vile (kupauka kwa sababu ya vumbi,inaziba nywele za mvi).
*Inavaliwa mahala popote kwa sababu ya rangi zake adimu.
TAZAMA BAADHI YA MAONI KUTOKA KWA WATEJA WETU
Tuna offer kuu tatu mpya zenye unafuu wa asilimia 99%